www.allymadulu's Profile

www.allymadulu On 3 months ago

About Me

  • Birthday: Jan 1, 1969
  • Gender: Female
  • Blog Traffic: 211 Visitors

Recent Posts:

Browse by Tags:

Browse by Category

HABARI

April 19, 2008 / by www.allymadulu

HII NI WEB YA KIDINI

2 comments on HABARI

  • madulu ally said 3 months ago

    Enyi waja wa mwenyezi mungu ninakuusieni na kuiyusia nafsi yangu  kumcha mwenyezi mungu (s,w) kwa kutekeleza ibada  ya zakati, ni pale aliposema Allah (sw) chukua katika mali zao sadaka (Dhaka) uwatohalishe na kuwatakasa…

    ndugu waislam hakika jambo la zakaati katika uislam ni jambo kubwa! nalo ni moja kati ya nguzo za uislam ambalo limeambatana na ibada ya salah, katika sehemu nyingi katika aya za Qur`aani tukufu,Na alikuwa mtume (saw) akihimiza kwa mahimizo makubwa kwa kuwatuma masahaba kwenda kwa matajiri na wanaohusika ili kuchukuwa Dhaka na kuwagawia wanaohusika kupewa Dhaka hiyo, Na jambo hilo la Dhaka wakaliendeleza masahaba waongofu,na kwa ukubwa wa jambo hilo masahaba walihesabu kuwa ni ukafiri kwa waislam waliozuia kutoa Dhaka na waliwaandalia majeshi iwe tayari kwa kuwapiga vita na kuwaua kama alivyofanya miongoni mwa masahaba wakubwa seyyidina Abubakari saddiq (r,a)kwa kuwaandalia jeshi baadhi ya waislam ambao waliasi kutoa dhaka katika  utawala wake, ila pale walipotii aliwasamehe na kuaza kukusanya Dhaka.

    Enyi ndugu waislam yeyote mwenye kukataa kutoa Dhaka katika mali yake basi huyo ni kafiri alieritadi kwa kutoka katika uislam na analazimika kutubia! Na kama hakutubu kwa kutekeleza ibada hiyo basi uhuwawa kwa sababu amekadhibisha aya ya mwenyezi mungu mtukufu na mtume wake (s,a,w) na kwa ijmaai (makubaliano) ya viongozi wa kiislam  ambao wao ni warithi wa mitume.

    Enyi ndugu waislam hakika makemeo ya  kuacha kutoa Dhaka   ni makubwa mno na yanapelekea adhabu hapa duniani na kesho akhera kama mwenyezi mungu alivyobainisha katika maneno yake kuwa:wala usiwadhanie wale wafanyao ubakhiri katika yale aliyowapa mwenyezi mungu katika fadhira zake kuwa ni bora kwao! Laa bali hiyo ni shari kwao, watafungwa makongwa  kwa yale waliyokiyafanyia ubakhiri…(3:180).Kwa hiyo ndugu waumini huo ni uovu mkubwa na shari mbaya sana kama waislam hatutahimizana kutekeleza ibada ya dhakaati na tufahamu ya kuwa tunatangaza vita  na mwenyezi mungu  kwa kupuuza ibada hiyo.Je ndugu wailam tutaweza kupigana vita na mwenyezi mungu?Na akasema tena kwa wale waliolimbikiza fedha na dhahabu na wala hawatoi katika njia ya mwenywzi mungu  kuwa wape habari ya adhabu iyumizayo siku ambayo(mali zao ) zitakapotiwa moto katika moto wa jahannamu, na kwayo vita chomwa vipaji vya nyuso zao na mbavu zao na migongo yao,(na isemwe)haya ndio mliyolimbikiza kwa ajili ya nafsi zenu,basi onjeni (adhabu ya) yale mliyokuwa mnalimbikiza (9:34-35).Ninakuhusieni pamoja na kuiyusia nafsi yangu kwa kauli ya mtume (s,a,w) Aliyosema kuuwambia umma wake kuwa pindi watu wakijilimbikizia  dhahabu na fedha kwa kuto kutoa Dhaka na sadaka basi muumini wewe rimbikiza maneno haya (katika moyo wako kwa kuomba dua ) Ewe mwenyezi  mungu hakika mimi ninakuomba uthibiti katika amri (zako), na azma (nia) juu ya uongofu, na ninakuomba kushukuru neema zako, na ninakuomba (niwe na ) moyo uliosalimika na (madhambi), na ninakuomba ulimi wenye kusema kweli, na ninakuomba miongoni mwa kheri zozote unazozijuwa, na ninakuomba msamaha kwa unayoyajuwa! Hakika wewe ni mjuzi mno wa mambo ya siri         

  • madulu ally said 2 months ago

    wewe nani

Add a comment

To add comments without entering your email and image verification, you must be logged in. Login or Join Blogster

  • Type the words in the box below the image.

Email this blog post to a friend

To email posts to friends, you must be logged in. Login or Join Blogster

Friends

www.allymadulu currently has no Blogster friends

Add her as a friend and send her a friendly welcome!